Sunday, August 18

WAZIRI AWAASA WATANZANIA MATUMIZI YA SIMU ZA MIKONONI

0


Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye amewataka watanzania kutumia mawasiliano ya simu kwa manufaa ya kujiletea maendeleo na sio kutumika katika masuala ambayo si sahihi.

Kauli hiyo wa Naibu Waziri imetolewa jana wakati akifanya uzinduzi wa dua la simu ambapo ametoa takwimu kwamba asilimia 94 ya watanzania wanatumia mawasiliano kwa njia ya simu.

Aidha Mh. Nditiye alisema kwamba endapo mawasiliano hayo yatatumiwa vizuri yatasaidia nchi kupiga hatua za kimaendeleo.

Aidha Mh. Nditiye amewataka watoa huduma za mawasiliano kuhakikisha kuna kuwa na huduma bora na zinazokidhi mahitaji.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.