Sunday, August 18

Breaking News : TRENI YA ABIRIA YAANGUKA UVINZA – KIGOMA IKITOKA DAR ES SAALAM

0


Habari tulizozipata hivi punde kutoka mkoani Kigoma zinaarifu kuwa Treni ya abiria iliyokuwa inatoka jijini Dar es saalam kwenda mkoa wa Kigoma imeanguka katika eneo la Malagarasi wilaya ya Uvinza jioni hii siku ya Jumatano Februari 28,2018.


 Taarifa zinasema kuwa kichwa cha treni hiyo kimetoka nje ya njia yake na behewa mbili zimeanguka na kwamba taarifa za awali ni kwamba hakuna mtu aliyepoteza maisha.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.