Saturday, August 17

Ratiba ya mechi za UEFA champions league na Eoropa League Jumatano hii – Full Shangwe Blog

0


one pager feb 19th to 25th

DStv Presenter Mention

Mambo yanazidi kupamba moto katika ulimwengu wa soka wiki hii baada ya mashabiki kushuhudia mechi kali jana iliyochezwa kati ya Chelsea dhidi ya Barcelona na kuibuka na sare ya 1-1 kwenye michuano ya UEFA Champions League, Na hii ndio ratiba ya mechi za UEFA champions league na Eoropa League Jumatano hii na kuendelea bila kusahau Premier league na Laliga zitakazochezwa wikiendi hii.

Ni Supersport pekee, Ulimwengu wa Mabingwa ndio wanaokuletea michuano hii ya mechi za Ligi Kuu ya Mabingwa (UEFA) na EUROPA league, Premier League, Laliga na burudani ya Mieleka (WWE)  LIVE yaani mubashara kupitia DStv!

Je Hujajiunga? Jiunge sasa na Ofa ya THE PUNGUZO burudika na miezi miwili bure kwa kununua Dekoda pamoja na Dish kwa sh.79, 000 tu!

Kujiunga piga 0659 070707, THE PUNGUZO na DStv!!Read More

Share.

About Author

Comments are closed.