Thursday, August 22

Mpira kati ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Baraza la Wawakilishi Zanzibar

0


PMO_8107

Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, wakati akiwasili katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, Aprili 26, 2019, kushuhudia mpira kati ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Baraza la Wawakilishi Zanzibar. Kutoka kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi, Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Zubeir Ali Maulid, Mbunge wa Viti maalum, Salma Kikwete.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

PMO_8133

Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa, akiwapa mkono Wabunge wa Bunge la Tanzania, wakati akikagua timu katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, katika mechi kati ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Aprili 26, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PMO_8147

Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa, akiwapa mkono Wabunge wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, wakati akikagua timu katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, katika mechi kati ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Aprili 26, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PMO_8183

Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa, akirusha shilingi kabla ya mechi kuanza, kati ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Baraza la Wawakilishi Zanzibar iliyofanyika katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, Aprili 26, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PMO_8190

Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa, akipuliza firimbi, kwenye kati ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Baraza la Wawakilishi Zanzibar, iliyofanyika katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, Aprili 26, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PMO_8192PMO_8220

Mbunge wa Jang’ombe Ali King, akicheza mpira wa juu, katika mechi ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Baraza la Wawakilishi Zanzibar, iliyofanyika katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, Aprili 26, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PMO_8226PMO_8237

Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa, akioneshwa jambo na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Zubeir Ali Maulid, kwenye kati ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Baraza la Wawakilishi Zanzibar, iliyofanyika katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, Aprili 26, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PMO_8242

Wabunge wakiangalia mechi kati ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Baraza la Wawakilishi Zanzibar, iliyofanyika katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, Aprili 26, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Share.

About Author

Leave A Reply