Friday, July 19

DIAMOND PLATNUMZ AWADATISHA MASHABIKI WAKE MJINI IRINGA USIKU HUU

0


001

Mwanamuziki Nasib Abdul Maarufu kama Diamond Platnumz akitumbuiza usiku huu kwenye uwanja wa Samora mjini Iringa katika tamasha kubwa la Wasafi Festival, Tamasha la leo ni Mwendelezo wa matamasha yake baada ya lile lililofanyika mkoani Mtwara kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona na kuweka rekodi ya kuhudhuriwa na maelfu ya mashabiki wake, Uwanja wa Samora pia umefurika mashabiki huku wakipata burudani kutoka kwa  wasanii mbalimbali wanaotumbuiza katika tamasha hilo.

(PICHA NA JOHN BUKUKU-FULLSHANGWEBLOG-IRINGA)

01

Mwanamuziki Nasib Abdul Maarufu kama Diamond Platnumz akiendelea kupagawisha mashabiki wake kwenye uwanja wa Samora mjini Iringa usiku huu.

1

Mwanamuziki Nasib Abdul Maarufu kama Diamond Platnumz akisambulia jukwaa kwa pamoja na Mwanamuziki Ray Van katika tamasha hilo.

23

Mashabiki wakiwa wamefurika kwenye uwanja wa Samora huku wakiimba pamoja na Diamond Platnumz wakati akiimba jukwaani.

45

Mkuu wa mkoa wa Iringa Ali Hapi katikati Mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela wakiwa na mchekeshaji  Steven Mengele maarufu kama Steve Nyerere wakishuhudia moto wa tamasha la Wasafi Festval linalofanyika usiku huu kwenye uwanja wa Samora.

????????????????????????????????????
Msanii Linna Sanga naye akifanya vitu vyake.
????????????????????????????????????
Msanii Gigy Money naye hakuwa mbali na jukwaa.
????????????????????????????????????
Ray Van akiwajibika jukwaani.

9

Waneguaji wa mwanamuziki Diamondplatnumz wakifanya vitu vyao jukwaani kabla ya mwanamuziki huyo kupanda jukwaani.

10

Share.

About Author

Leave A Reply