Monday, June 17

Kila la kheri kidato cha sita nchini

0


     Maswayetu blog inawatakia kila kheri kidato cha sita wote nchini na wanafunzi wa vyuo vya kati chini ya NACTE katika mitihani yao inayotarajia Kuanza mnamo tarehe 7 may mwaka huu, aidha tunazidi kuwa tunaomba radhi kwa kupoteza kwa muda mrefu na hii ni kwa sababu ya tatizo lilokuwa nje ya uwezo wetu… Tupo pamoja sana na Mungu awabariki sana..!!

    Wako term blog 
                      Gaspal simon mazengo 
                      P. Box 184, ITILIMA Simiyu               Read More

Share.

About Author

Comments are closed.