Monday, August 26

Terry kuinoa M’brough

0


LONDON, England

MABOSI wa klabu ya MiddlesJohn wanateta na John Terry juu ya mkongwe huyo kuinoa timu yao.

Terry (38), nahodha wa zamani wa Chelsea, anaongoza katika orodha ya makocha wanaotakiwa kwenda kukikalia kiti cha Tony Pulis aliyeondoka wiki iliyopita.

Mkongwe huyo alianza kazi ya ukocha mwanzoni mwa msimu huu alipoajiriwa kuwa msaidizi wa Dean Smith pale Aston Villa, kabla ya kupewa kibarua rasmi klabuni hapo.

Share.

About Author

Leave A Reply