Friday, May 24

Sanchez akimbiwa kisa mshahara

0


MANCHESTER, England

ZIPO klabu kadhaa zinazomtaka staa wa kimataifa wa Chile
anayetajwa kuwa mbioni kuondoka Manchester United, Alexis Sanchez.

Hata hivyo, zinakwama mara tu linapofikia suala la mshahara
wa mshambuliaji huyo.

Inaeleweka kuwa klabu ambazo hadi sasa zimeshaonesha nia ya
kumpa ajira ni Inter Milan na Juventus.

Share.

About Author

Leave A Reply