Thursday, August 22

Pogba, Hazard wakaribishwa Madrid

0


MADRID, England 

BEKI wa Real Madrid, Raphael Varane, amesema mlango upo wazi kwa mastaa Paul Pogba na Eden Hazard ili kujiunga na timu hiyo.

Taarifa ndani ya klabu hiyo zilidai kuwa, Zinedine Zidane, anataka kutumia pesa ndefu ili kuwasajili wachezaji hao.

Varane aliliambia gazeti la Marca kuwa kila mchezaji anayo nafasi Madrid hivyo  Pogba na Hazard wanastahili kuwepo mahali hapo.

Share.

About Author

Leave A Reply