Thursday, August 22

Del Bosque aibukia majanga Hispania

0


MADRID, Hispania

KOCHA mwenye jina kubwa katika ulimwengu wa soka, Vicente del Bosque, amesema kutong’ara kwa Real Madrid na Barcelona katika michuano ya Ulaya msimu huu hakumaanishi kuwa kandanda la Hispania limepotea.

Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya itazishuhudia Liverpool na Tottenham, wakati ile ya Ligi ya Europa itazikutanisha Chelsea na Arsenal.

“Kama umeona kilichotokea miaka 20 iliyopita, klabu za Hispania zimeshinda asilimia 50 ya mataji ya Ligi ya Mabingwa,” alisema Del Bosque.

Share.

About Author

Leave A Reply