Monday, August 19

Ajali yaua mshambuliaji Czech

0


PRAGA, Czech

NYOTA wa Alanyaspor ya Uturuki raia wa Jamhuri ya Czech,
Josef Sural, amefariki kwa ajali ya gari akiwa na umri wa miaka 28.

Mshambuliaji huyo alipata ajali huyo alipokuwa akisafiri na
wachezaji wenzake sita baada ya mchezo wa sare ya bao 1-1 kati ya Alanyaspor
Kayserispor.

Wachezaji wengine waliokuwamo ni pamoja na Papiss Cisse na Steven
Caulker, ambao hata hivyo walipata majeraha madogo.

Share.

About Author

Leave A Reply