Wednesday, August 21

Ellen DeGeneres alia kunyanyaswa kingono

0


LAS ANGELES, MAREKANI

MTANGAZAJI,
mchekeshaji na mwigizaji nyota nchini Marekani, Ellen DeGerenes, amesema akiwa
binti mdogo wa miaka 15, aliwahi kufanyiwa vitendo vya unyanyasaji wa kingono
na baba yake wa kambo.

Ellen
mwenye umri wa miaka 61 sasa, aliyasema hayo hivi karibuni katika utangulizi wa
mahojiano aliyofanyiwa na David Letterman katika kipindi chake cha My Next
Guest Needs No Introducton, kitakachoruka rasmi kesho.

“Baba
yangu wa kambo ni mtu mbaya sana, pale ambapo alikuwa akinishika matiti kipindi
mama yangu anasumbuliwa na ugonjwa wa saratani ya matiti,” alisema Ellen.

Share.

About Author

Leave A Reply