Tuesday, August 20

WAZIRI MWAKYEMBE ALIVYOMPOKEA RAIS WA FIFA JANA DAR

0


Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk. Harrison George Mwakyembe (kulia) akizungumza na Rais wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), Mtaliano Giovanni Vincenzo ‘Gianni’ Infantino jana ukumbi wa VIP Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) mjini Dar es Salaam baada ya kuwasili kwa semina ya siku tatu ya FIFA itakayoshirikisha nchi 21, wakiwemo wenyeji, Tanzania 

Rais wa FIFA, Gianni Infantino akimueleza jambo Waziri Dk. Harrison Mwakyembe jana

Na hapa ni wakati Dk. Harrison Mwakyembe anampokea Gianni Infantino alipoteremnka kwenuye ndege  

Kushoto ni Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia

Read More

Share.

Comments are closed.