Tuesday, August 20

UNAJUA KWA NINI SANCHEZ AMEMBEBA HUYO MTOTO? SOMA

0


Alexis Sanchez akiwa amebeba kumrudisha jukwaani shabiki mtoto mdogo aliyeingia Uwanja wa The John Smith na watoto wenzake kushangilia bao la pili la timu hiyo ambalo kama la kwanza lilifungwa na Romelu Lukaku katika mchezo wa hatua ya 16 Bora Kombe la FA England dhidi ya wenyeji, Huddersfield Town leo PICHA ZAIDI GONGA HAPA 

Read More

Share.

Comments are closed.