Tuesday, March 19

TOTTENHAM HOTSPUR YAIKANDAMIZA 3-1 SOUTHAMPTON WEMBLEY

0


TOTTENHAM HOTSPUR YAIKANDAMIZA 3-1 SOUTHAMPTON WEMBLEY – BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINETOTTENHAM HOTSPUR YAIKANDAMIZA 3-1 SOUTHAMPTON WEMBLEY – BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINE

Son Heung-Min akishangilia baada ya kuifungia Tottenham Hotspur bao la tatu dakika ya 55 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Southampton usiku wa jana kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Wembley mjini London. Mabao mengine ya Spurs yamefungwa na Harry Kane dakika ya tisa na Lucas Moura dakika ya 51, wakati la Southampton  limefungwa na Charlie Austin dakika ya 90 na ushei 
Share.

Leave A Reply