Friday, July 19

SANE AFUNGA MAWILI MAN CITY YAICHAPA WEST HAM 4-0

0


SANE AFUNGA MAWILI MAN CITY YAICHAPA WEST HAM 4-0 – BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINESANE AFUNGA MAWILI MAN CITY YAICHAPA WEST HAM 4-0 – BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINE

Leroy Sane (kulia) akishangilia na Raheem Sterling baada ya wote kuifungia Manchester City katika ushindi wa 4-0 dhidi ya wenyeji, West Ham United leo Uwanja wa London kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Sane alifunga mabao mawili dakika za 34 na 94 na ushie na Sterling dakika ya 19, wakati bao lingine limefungwa na David Silva dakika ya 11 
Share.

Leave A Reply