Thursday, August 22

SANCHEZ AANZA KULIPA OLD TRAFFORD, ASETI LA KWANZA NA KUFUNGA LA PILI MAN UNITED YASHINDA 2-0

0


Mshambuliaji Alexis Sanchez anayelipwa Pauni 400,000 Manchester United akishangilia baada ya kuifungia timu hiyo bao la pili dakika ya 20 ikiilaza 2-0 Swansea City katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jionji ya leo Uwanja wa eOld Trafford mjini Manchester, kufuatia kumpasia mshambuliaji mwenzake, Romelu Lukaku kufunga la kwanza dakika ya tano PICHA ZAIDI GONGA HAPA 

Read More

Share.

Comments are closed.