Sunday, December 16

SALAH APIGA HAT TRICK LIVERPOOL YAIFUMUA BOURNEMOUTH 4-0 VITALITY

0


SALAH APIGA HAT TRICK LIVERPOOL YAIFUMUA BOURNEMOUTH 4-0 VITALITY – BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINESALAH APIGA HAT TRICK LIVERPOOL YAIFUMUA BOURNEMOUTH 4-0 VITALITY – BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINE

Mohamed Salah akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Liverpool hat-trick kwa mabao ya dakika za 25, 48 na 77 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya AFC Bournemouth kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Vitality. Bao lingine la Liverpool limefungwa na Steve Cook aliyejifunga dakika ya 68  
Share.

Leave A Reply