Tuesday, August 20

RAMOS ALIVYOFURAHIA KUFIKISHA MECHI 550 REAL MADRID

0


Sergio Ramos (katikati) akifurahia na wenzake na jezi yenye namba 550 baada ya kucheza mechi ya 550 Real Madrid usiku wa jana ikishinda 3-1 dhidi ya wenyeji, Leganes Uwanja wa Manispaa ya Butarque katika mchezo wa La Liga. Ramos alifunga bao la tatu dakika ya 90 kwa penalti, baada ya Lucas Vazquez kufunga la kwanza dakika ya 11 na Casemiro la pili dakika ya 29, baada ya Bustinza kuanza kuwafungia wenyeji dakika ya sita PICHA ZAIDI GONGA HAPA 

Read More

Share.

Comments are closed.