Monday, August 19

NGORONGORO HEROES NA MSUMBIJI KATIKA PICHA JANA TAIFA

0


Kiungo wa timu ya taifa ya Tanzania chini ya umri wa miaka 20, Ngorongoro Heroes, Said ‘Ronaldo’ Mussa akimuacha chini beki wa Msumbiji katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Ngorongoro ilishinda 2-1. 

Beki wa Msumbiji, Joachim Cumbe akiupitia mpira mbele ya kiungo wa Ngorongoro Heroes, Said ‘Ronaldo’ Mussa  

Kibwana Shomari wa Ngorongoro Heroes akimtoka mchezaji wa Msumbiji  

Abdul Suleiman wa Ngorongoro Heroes akimpiga tobo beki wa Msumbiji kabla ya kuifungia Tanzania bao la kwanza 

Nickson Kibabage wa Tanzania akimtoka Luis Sitoe wa Msumbiji 

Assad Ali Juma wa Tanzania akitafuta maarifa ya kuwapita wachezaji wa Msumbiji   

Kevin Nashon wa Tanzania akijaribu kuondoka na mpira baada ya Leonel Victor wa Msumbiji kuanguka

Wachezaji wa Tanzania Assad Ali Juma (katikati kulia) na Said ‘Ronaldo’ Mussa (katikati kushoto) wakishirikiana kuwapita wachezaji wa Msumbiji 

Kikosi cha Ngorongoro kilichoanza jana dhidi ya Msumbiji 

Kikosi ch Msumbiji kabla ya mchezo wa jana Uwanja wa Taifa





Read More

Share.

Comments are closed.