Saturday, August 17

MTOTO WA DROGBA AFUATA NYAYO ZA BABA, ASAINI LIGUE 1 UFARANSA

0


Isaac Drogba (kushoto), mwenye umri wa miaka 17, mtoto wa gwiji wa soka, Didier Drogba akikabidhiwa jezi ya klabu yake mpya, Guingamp ya Ligue 1 jana moja ya timu alizochezea baba yake mwanzoni mwa maisha yake ya soka nchini Ufaransa. Drogba mkubwa alijiunga na Guingamp akiwa ana umri wa miaka 16 tu kwa ada ya uhamisho ya Pauni 80,000 kutoka Le Mans PICHA ZAIDI GONGA HAPA 

Read More

Share.

Comments are closed.