Sunday, August 25

MESSI ALIPOKUTANA NA 'DIGI DIGI WA MAN CITY LEO ETIHAD

0


Nyota wa Barcelona, Lionel Messi akiwa amezingirwa na wachezaji wa timu ya vijana chini ya umri wa miaka saba na nane (U-7 na U-8) wa Manchester City leo Uwanja wa Etihad ambako timu ya taifa ya Argentina inafanya mazoezi mazoezi kujiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Italia Ijumaa PICHA ZAIDI GONGA HAPA 

Read More

Share.

Comments are closed.