Thursday, February 21

MARCO REUS AFUNGA MAWILI BORUSSIA DORTMUND YAIPIGA BAYERN MUNICH 3-2 BUNDESLIGA

0


MARCO REUS AFUNGA MAWILI BORUSSIA DORTMUND YAIPIGA BAYERN MUNICH 3-2 BUNDESLIGA – BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINEMARCO REUS AFUNGA MAWILI BORUSSIA DORTMUND YAIPIGA BAYERN MUNICH 3-2 BUNDESLIGA – BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINE

Marco Reus akishangilia baada ya kuifungia mabao yote mawili Borussia Dortmund dakika za 49 kwa penalti na 67 katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Bayern Munich kwenye mchezo wa Bundesliga usiku wa jana Uwanja wa Signal-Iduna-Park mjini Dortmund, Ujerumani.
Bao la tatu lilifungwa na Paco Alcácer dakika ya 73, wakati ya Bayern Munich yote yalifungwa na Robert Lewandowski dakika za 26 na 52  
Share.

Leave A Reply