Monday, March 18

LINGARD AISAWAZISHIA MAN UNITED YATOA SARE 2-2 NA ARSENAL OLD TRAFFORD

0


LINGARD AISAWAZISHIA MAN UNITED YATOA SARE 2-2 NA ARSENAL OLD TRAFFORD – BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINELINGARD AISAWAZISHIA MAN UNITED YATOA SARE 2-2 NA ARSENAL OLD TRAFFORD – BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINE

Jesse Lingard akishangilia baada ya kuifungia Manchester United bao la kusawazisha dakika ya 69 katika sare ya 2-2 na Arsenal usiku wa jana Uwanja wa Old Trafford kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Bao la kwanza Man United lilifungwa na Anthony Martial dakika ya 30, wakati mabao ya Arsenal yalifungwa na Shkodran Mustafi dakika ya 26 na Marcos Rojo aliyejifunga dakika ya 68 
Share.

Leave A Reply