Friday, July 19

KOCHA MPYA REAL MADRID ALA KICHAPO CHA KWANZA, APIGWA 3-0 IPURUA

0


KOCHA MPYA REAL MADRID ALA KICHAPO CHA KWANZA, APIGWA 3-0 IPURUA – BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINEKOCHA MPYA REAL MADRID ALA KICHAPO CHA KWANZA, APIGWA 3-0 IPURUA – BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINE

Kiungo wa Real Madrid, Luka Modric akijaribu kuutelezea mpira kuurejesha uwanjani leo katika mchezo wa La Liga dhidi ya wenyeji, Eibar 3-0 Uwanja wa Manispaa ya Ipurua. Eibar imeshinda 3-0 mabao yake yakifungwa na Gonzalo Escalante dakika ya 16, Sergi Enrich dakika ya 52 na Kike dakika ya 57 huo mchezo wa kwanza timu hiyo inapoteza chini ya kocha mpya, Santiago Solari 
Share.

Leave A Reply