Saturday, July 20

KANE AFUNGA ZOTE MBILI TOTTENHAM IKIICHAPA 2-1 PSV

0


KANE AFUNGA ZOTE MBILI TOTTENHAM IKIICHAPA 2-1 PSV – BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINEKANE AFUNGA ZOTE MBILI TOTTENHAM IKIICHAPA 2-1 PSV – BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINE

Harry Kane akishangilia kishujaa baada ya kuifungia bao la ushindi Tottenham Hotspur dakika ya 89 ikiilaza 2-1 PSV katika mchezo wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Wembley mjini London. Kane pia aliifungia bao la kusawazisha Spurs dakika ya 78, baada ya Luuk de Jong kutangulia kuifungia PSV dakika ya pili tu kwa kichwa akimalizia kona ya Gaston Pereiro 
Share.

Leave A Reply