Monday, March 18

JUVE YA RONALDO YAWEKA REKODI MPYA ULAYA BAADA YA KUIPIGA INTER MILAN 1-0

0


JUVE YA RONALDO YAWEKA REKODI MPYA ULAYA BAADA YA KUIPIGA INTER MILAN 1-0 – BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINEJUVE YA RONALDO YAWEKA REKODI MPYA ULAYA BAADA YA KUIPIGA INTER MILAN 1-0 – BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINE

Nyota wa Juventus, Cristiano Ronaldo akitabasamu huku akiwaonyesha alama ya dole gumba mashabiki baada ya mchezo wa mchezo wa Serie A dhidi ya mahasimu wao wa Italia, Inter Milan usiku wa jana Uwanja wa Allianz mjini Turin. Juventus ilishinda 1-0, bao pekee la mshambauliaji wa kimataifa wa Croatia, Mario Mandzukic dakika ya 66 na sasa inaongoza Serie A kwa pointi 11 zaidi ya Napoli wanaofuatia nafasi ya pili, ikifikisha mechi 15 za kucheza bila kupoteza — ikishinda 14 na sare moja 
Share.

Leave A Reply