Thursday, August 22

JESUS AKARIBIA KULIA BAADA YA KUIFUNGIA BRAZIL IKIILAZA 1-0 UJERUMANI

0


Mshambuliaji wa Manchester City, Gabriel Jesus akikaribia kulia kwa furaha wakati anapongezwa na wachezaji wenzake baada ya kuifungia Brazil bao pekee dakika ya 37 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Ujerumani usiku wa jana Uwanja wa Olympia mjini Berlin katika mchezo wa kirafiki PICHA ZAIDI GONGA HAPA 

Read More

Share.

Comments are closed.