Thursday, February 21

GIROUD AIPELEKA CHELSEA 32 BORA UEFA EUROPA LEAGUE

0


GIROUD AIPELEKA CHELSEA 32 BORA UEFA EUROPA LEAGUE – BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINEGIROUD AIPELEKA CHELSEA 32 BORA UEFA EUROPA LEAGUE – BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINE

Olivier Giroud (kulia) akiifungia Chelsea bao pekee dakika ya 52 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, BATE kwenye mchezo wa Kundi L UEFA Europa League Uwanja wa Belarus Arena mjini Belarus jana, hilo likiwa bao lake la kwanza katika miezi mitano na kuipeleka The Blues hatua ya 32 Bora ya michuano hiyo 
Share.

Leave A Reply