Saturday, July 20

BENZEMA APIGA MAWILI REAL MADRID YASHINDA 5-0 UGENINI ULAYA

0


BENZEMA APIGA MAWILI REAL MADRID YASHINDA 5-0 UGENINI ULAYA – BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINEBENZEMA APIGA MAWILI REAL MADRID YASHINDA 5-0 UGENINI ULAYA – BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINE

Karim Benzema akishangilia baada ya kuifungia Real Madrid mabao mawili dakika za 10 na 37 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Viktoria Plzen kwenye mchezo wa Kundi G Ligi ya Mabingwa Ulaya na kufikisha mabao 200 ya kuifungia klabu hiyo. Mabao mengine ya Real Madrid yamefungwa na Casemiro dakika ya 23, Gareth Bale dakika ya 40 na  Toni Kroos dakika ya 67 Uwanja wa Doosan Arena mjini Plzen 
Share.

Leave A Reply