Thursday, August 22

PICHA: IGP Sirro amefika katika Msiba wa Mwanafunzi Aliyepigwa Risasi

0


Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Nyakoro Sirro, leo amefika kwenye msiba wa aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwilini ambaye aliuawa kwa kupigwa risasi juzi Ijumaa eneo la Mkwajuni, Kinondoni, Dar. Msiba huo upo nyumbani kwao Akwilina maneo ya Mbezi jijini Dar.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.