Friday, July 19

Diamond akubali Wasafi Festival kudhaminiwa na Alikiba

0
Baada ya Alikiba kuandika ujumbe kwenda kwa Diamond kwamba hataweza kufanya show kupitia Wasafi Festival kutokana na majukumu yake ya kazi huku akiahidi kulidhamini tamasha hilo, Diamond ameibuka na kuzungumzia ishu hiyo.

Haya yote yanajiri  baada ya Diamond kusema kwamba angependa kumuona Alikiba akifanya show kupitia Wasafi Festival kauli ambayo ilibua msisimko.

Alikiba leo  Jumatano  alindika

“Baada ya subra ya muda mrefu, hivi karibuni nitawatangazia bidhaa yetu pendwa ya Mofaya inapatikana wapi na kwa kiasi gani! Pamoja na shughuli rasmi ya kuizindua kitaani.

“Pia ndugu zangu #Wasafi tumepata salamu zenu, nashukuru kwa mualiko wenu, ila kwa bahati mbaya sitoweza kushiriki kwa sasa kutokana na majukumu ya kuzindua Mofaya katika nchi zingine. Hata hivyo tusingependa kuwaacha hivi hivi, tupo tayari kuwapa support ya kudhamini tamasha lenu kupitia #MofayaEnergyDrink ili kuweza kusukuma mbele gurudumu la maendeleo ya sanaa yetu Tanzania na Africa . Management #RockstarAfrica yangu tutaendelea kuwasiliana nanyi tuweze kufanya hili jambo kubwa. #MofayaByAlikiba#KingKiba,”

Baada ya ujumbe huo, Diamond amemjibu Alikiba na kuandika ujumbe ambao unaonyesha huenda wawili hawa  wamemaliza bifu lao.

Advertisement

tang

==

Advertisement

Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==

….

===

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )

Share.

About Author

Leave A Reply