Sunday, August 25

WHATSAPP SECURITY LECTURE 1: JINSI YA KUZUIA KUDUKULIWA TAARIFA ZAKO ZA WHATSAPP

0


Uhali gani tena ndugu wasomaji wa blog yako pendwa ya mzumbe media blog Leo katika makala zetu tutaenda kuzungumzia juu ya suala ambalo limeshika chati sana katika mitandao ya kijamii juu ya suala la udukuzi kwenye mtandao wa kijamii maarufu kwa jina la whatsapp.

Kwa kushirikiana na Kampuni inayojihusisha na masuala ya Kiteknolojia ya Mbinda Technologies LTD, Wizara ya mawasiliano, Teknolojia na habari ya chuo kikuu cha mzumbe main campus leo tunakuletea makala maalumu juu ya kutatua suala la udukuzi kwenye mtandao wa whatsapp.

Leo tumekuletea stage mbalimbali ambazo utatakiwa kuzifuata ili kujiwekea ulinzi dhidi ya wadukuzi

FUATA STEP ZIFUATAZO 

1: Fungua application yako ya whatsapp na kisha bofya vitufe vitatu vipo juu kabisa


Mbinda Technologies 2017
                             2: Kisha baada ya hapo nenda palipoandikwa setting

Mbinda Technologies 2017
                      3: Kisha chagua Account

Mbinda Technologies 2017
                              4: Kisha chagua Two-Step Verification

Mbinda Technologies 2017
                                                

5: Kisha bofya kitufe cha enable

Mbinda Technologies 2017
                                  6: Kisha weka namba zako za siri

Mbinda Technologies 2017
                                 7: Kisha thibitisha tena namba zako za siri

                            

Mbinda Technologies 2017

8: Kisha weka e mail yako kwa ulinzi zaidi

Mbinda Technologies 2017
                          9: Kisha thibitisha e mail yako

Mbinda Technologies 2017
                                                       10: Kisha bofya kitufe cha done

Mbinda Technologies 2017
                             11: Mpaka hapo umefanikiwa kuweka ulinzi zaidi kwenye whatsapp yako

Mbinda Technologies 2017
                           

AHSANTE KWA USIKIVU WENU

IMETOLEWA NA WIZARA YA HABARI NA MAWASILIANO CHUO KIKUU MZUMBE KWA KUSHIRIKIANA NA Mbinda TechnologiesRead More

Share.

About Author

Comments are closed.