Sunday, August 25

MATUKIO YA UFUNGUZI WA BUNGE LA SERIKALI YA WANAFUNZI CHUO KIKUU CHA MZUMBE

0                                       

Habari Za Muda na wakati Kama Huu wanafamilia wa Chuo Kikuu Cha mzumbe Na Matawi Yake, Poleni Na Masomo Pamoja Na Mihangaiko Ya Hapa Na Pale. Leo Tunakuletea Mfululizo wa Matukio Yaliyotokea wakati Wa Ufunguzi wa Bunge La Wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Mzumbe.

Rais wa Serikali ya wanafunzi Chuo Kikuu Cha Mzumbe Kampasi Kuu ya Morogoro Akinena Jambo Wakati Wa Ufunguzi wa Bunge La wanafunzi (SRC)Read More

Share.

About Author

Comments are closed.