Sunday, August 25

INTER-FACULTY GAMES: TIMU YA KITIVO CHA FST (faculty of science and Technology) YATWAA UBINGWA WA MPIRA WA MIGUU

0Na Christopher Mbinda

Timu ya mpira wa miguu ya kitivo cha FST (faculty of science and technology) wameibuka washindi wa kwanza katika mashindano ya interfaculty kwa upande wa mpira wa miguu.

Kikosi cha FST wakiongozwa na kocha wao maridadi evance wameibuka washindi wa jumla kwa kupata mabao mawili kwa moja (2 – 1) dhidi ya kikosi cha timu ya FSS (faculty of social science) kwenye mtanange uliopigwa katika viwanja vya mzumbe shule ya msingi.

Kikosi cha FST walikua wa kwanza kupata bao lililofungwa na mshambuliaji maridadi FRANK LIPAMBILA anayetokea program ya Applied statistics (AS),

Baada ya mapumziko ya kipindi cha kwanza kuisha kikosi cha FST waliingia kwa kasi uwanjani ambapo dakika chache baadae mchezaji hatari wa Kikosi cha FST MUFTI anayesoma program ya ICT – M II

Bao la kufutia machozi la timu ya FSS lilifunwa katika kipindi cha pili na mshambuliaji mahiri wa FSS kwa njia ya mkwaju wa penalt baada ya mchezaji wa FST kuunawa mpira eneo la hatari

Kuhusu ugawaji wa zawadi, Zawadi zitatolewa mnamo Jumatatu ya tarehe 8/7/2017 na Vice Concealer (VC) 

endelea kufurahia habari zaidi kutoka mzumbe media.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.