Sunday, August 25

ZAHERA AWATOLEA UVIVU WACHEZAJI WAKE

0


index

NA EMMANUEL MBATILO

Kocha mkuu wa timu ya Dar es Salaam Young Africa (Yanga) amesikitishwa na kitendo cha baadhi ya wachezaji wake kugomea mazoezi ya kujiandaa na mechi dhidi ya Azam utakaopigwa Jumatatu hii katika dimba la Uhuru jijini Dar es Salaam.

“Nimekuwa nikiwatetea sana kushirikiana nao katika mambo mengi ndani na nje ya uwanja kufanya maamuzi (kugoma) bila kunitarifu ni kukosa nidhamu na utu yeyote ambae hatakuja mazoezini kuanzia kesho hata ichezea Yanga mpaka msimu huu utakapo kwisha”. Amesema Zahera.

Share.

About Author

Leave A Reply