Saturday, July 20

UFUNGUZI WA ZOEZI LA MEDANI JIJINI TANGA

0


images 

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linapenda kutoa taarifa kwa Vyombo vya Habari kuwa kesho tarehe 09 Novemba, 2018 kutakua na ufunguzi wa Zoezi la Medani Mkoani Tanga liitwalo USHIRIKIANO IMARA 2018, litakalohusisha Majeshi ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)

Vyombo vya Habari vinakaribishwa kwenye ufunguzi wa Zoezi hilo utakaoanza saa 03:00 asubuhi katika eneo la Mlingano, jijini Tanga.

Usafiri kwa ajili ya Waandishi wa Habari kutoka mjini Tanga kwenda Mlingano na kurudi utakuwepo. 


Share.

About Author

Leave A Reply