Friday, August 23

TIMU YA MSUVA YAPANGIWA KUNDI LA KIFO LIGI YA MABINGWA AFRIKA – Full Shangwe Blog

0


Timu ya Difaa Al Jadida ya Morocco anayochezea  Saimon Msuba imepangwa Kundi B ambalo linaonekana kuwa ni la kifo kutokana na kupangiwa vigogo wa  Afrika.

MAKUNDI HAYA HAPA…

KUNDI A
Al Ahly (Egypt)
Township Rollers (Botswana)
KCCA (Uganda)
Esperance (Tunisia)

KUNDI B
TP Mazembe (DR Congo)
MC Alger (Algeria)
Difaa El Jadidi (Morocco)
ES Setif (Algeria)

KUNDI C
AS Togo (Togo)
Mamelodi Sundowns (South Africa)
Wydad Athletic Club (Morocco)
Horoya (Guinea)

KUNDI D 
Zesco United (zambia)
Primeiro de Agosto (Angola)
Etoile du Sahel (Tunisia)
Mbabane Swallows (Swaziland)Read More

Share.

About Author

Comments are closed.