Wednesday, August 21

TIMU 16 ZILIZOTINGA HATUA YA MAKUNDI LIGI YA MABINGWA AFRIKA,CECAFA IMEINGIZA MOJA – Full Shangwe Blog

0


Jumla ya timu 16 zinazoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika zimefuzu kuingia hatua ya makundi, na sasa kinachosubiriwa ni droo ya kupangwa timu zipi zikutane.

Ukanda wa CECAFA unajivunia kwa kuingiza timu moja ambayo ni KCCA ya Uganda  timu tano nazo zimeangukia kwenye Shirikisho ambazo zinaweza kutinga hatua ya makundi ni Yanga,Rayon Sport,Gor Maria,St.George na Hilal Odmunman ya Sudan zote zipo chini ya CECAFA
Sasa zinasubiri Droo ya makundi itafanyika mjini Cairo, Misri, Jumatano ya Machi 21 2018 majira ya saa 8:30 MchanaRead More

Share.

About Author

Comments are closed.