Sunday, August 18

SANCHEZ,LUKAKU WAING’ARISHA MAN UNITED DHIDI YA SWANSEA CITY – Full Shangwe Blog

0


 

Manchester United imeendelea kusalia nafasi ya pili katika msimamo wa Ligi Kuu England kwa kuilaza Swansea City FC jumla ya mabao 2-0.

Lukaku aliyeweka rekodi ya kufunga bao la 100 katika EPL leo, alianza kucheka na nyavu kwenye dakika ya 5 tu ya mchezo.

Alexis Sanchez leo ameibuka na kufikisha bao lake la pili akiwa na Manchester United akitokea Arsenal katika usajili wa dirisha dogoRead More

Share.

About Author

Comments are closed.