Tuesday, March 19

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.SHEIN AZINDUA MRADI WA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI ZANZIBAR

0


IMG_1695

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Daktabi Bingwa wa Uchunguzi Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar Dr. Msafiri Marajani akitowa maelezo ya picha kuhusiana na viashiria vya Saratani ya Shingo ya Kizazi, kabala ya uzinduzi huo uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar, akiwa na Waziri wa Afya Zanzibar Mhe Hamad Rashid Mohammed,Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, wakifuatilia maelezo hayo

IMG_1732

/RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Daktari Bingwa wa Uchunguzi katika Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar Dr.Msafiri Marijani. wakati akilipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar kushoto kwa Rais Katibu Mkuu Wizara yac Afya Zanzibar.Bi. Asha Abdallah Ali na kulia Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed , Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, wakifuatilia maelezo hayo

IMG_1759

MADAKTARI Bingwa kutoka Nchini China wakifuatilia Hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, wakati wa Uzinduzi wa Mradi wa Uchunguzi wa Saratani ya Shingo ya Kizazi, uliofanyika katika Ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar

IMG_1775

NAIBU Rais wa Hospital ya Naijing Drum Tower Dkt. Yu.Chenggong , akitowa maelezo kuhusiana na Mradi huo wa Uchunguzi wa Saratani ya Shingo ya Kizazi,wakati wa Uzinduzi wake uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.

IMG_1820

WAZIRI wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombo,wa kwanza akiwa na Katibu Mkuu Wizara ya Afya Nchini Sierra Leone,Ndg.David Banya, wakiwa na Viongozi mbalimbali wakifuatilia hutuba ya Ufunguzi ya Mradi huo wa Uchunguzi wa Saratani ya Shingo ya Kizazi Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar, akihutubia katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.

IMG_1833

WAZIRI wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed akizungumza wakati wa Uzinduzi huo kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar kuhutubia na kuzindua Mradi huo wa Uchunguzi wa Saratani ya Shingo ya Kizazi Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar

IMG_1883

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Mradi wa Uchuguzi wa Saratani ya Shingo ya Kizazi Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.

IMG_1841

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Cheti Balozi wa Mradi wa Saratani ya Shingo ya Kizazi Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.Mhe. Mgeni Hassan Juma, wakati wa hafla hiyo ya Uzinduzi,uliofanyika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.(Picha na Ikulu)

Share.

About Author

Leave A Reply