Monday, June 17

OFISI YA MAKAMU WA RAIS YAANDAA KIKAO CHA WAWEKEZAJI NA WADAU WA MIFUKO MBADALA WA PLASTIKI JIJINI DAR ES SALAAM

0


1.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais-Muungano na Mazingira Mh. January Makamba akiongea wakati wa Kikao kilichokutanisha Wadau na Wazalishaji wa mifuko mbadala wa plastiki kilichofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere Convention Centre jijini Dar Es Salaam.

2.1

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais-Muungano na Mazingira Mh. January Makamba akiwa pamoja na Waziri waNchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji Mh. Angellah Kairuki, Waziri wa Viwanda na Biashara Mh. Joseph Kakunda wakati wa kikao Wadau wa uzalishaji na uwekezaji wa mifuko mbadala wa plastiki kilichofanyika jijini Dar Es Salaam.

3

Sehemu ya Wadau wa uzalishaji na uwekezaji katika mifuko mbadala wa plastiki waliohudhuria kikao hiko katika ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar Es Salam. Kikao hiko kiliandaliwa na Ofisi ya Makamu wa Rais.

4...

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais-Muungano na Mazingira Mh. January Makamba akiteta jambo na  Waziri waNchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji Mh. Angellah Kairuki wakati wa kikao cha Wadau na Wawkezaji wa mifuko mbadala wa plastiki kilichofanyika jijini Dar Es Salaam.

 Check Also_MG_4436

MKUU wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella akizungumza wakati uzinduzi wa mradi wa afya kamilifu …

Share.

About Author

Leave A Reply