Wednesday, August 21

MATUKIO KATIKA PICHA KAMATI YA LAAC NA PAC MKOANI SINGIDA – Full Shangwe Blog

0


DAY 1

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) na Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC),wakifuatilia mada kuhusu  Mtazamo wa kikaguzi kutoka kwa Mkaguzi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi, Ndugu Athuman Mbuttuka katika semina iliyofanyika Mkoani Singida kwa ajili ya kuwajengea uwezo wajumbe hao.

DAY 2

Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) na Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC),wakifuatilia mada kuhusu  Mtazamo wa kikaguzi kutoka kwa Mkaguzi wa ofisi ya Taifa ya Ukaguzi, Ndugu Athuman Mbuttuka katika semina iliyofanyika Mkoani Singida kwa ajili ya kuwajengea uwezo wajumbe hao.

DAY 3

Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), Mheshimiwa Mary Chatanda akichangia hoja katika  semina ya kuwajengea uwezo wajumbe wa Kamati hiyo, iliyoandaliwa na Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi na kufanyika Mkoa wa Singida.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.