Sunday, August 25

KWENYE DStv IJUMAA HII MAMBO NI MOTO NI UJERUMAN VS HISPANIA – Full Shangwe Blog

0


 2

Magwiji wa kukuleta soka babkubwa, DStv, wanakuletea mechi za shika nikushike kuelekea kombe la Dunia 2018.

Ijumaa hii, saa 4 na nusu usiku, Austria wanaingia dimbani kuwavaa Slovania ndani ya SuperSport 7

Wakati huo huo, Supersport 4 kutakuwa na mechi kati ya Misri na  zote zikipatikana kwenye kifurushi Bomba kwa sh.19,000 tu!

Kwa wateja wa compact kuna mechi zingine mbili za ziada.

Ya kwanza ni Netherlands wakichuana na England na ya pili ni kati ya Urusi na Brazil, kuanzia saa 12:45 jioni  kwenye Supersport 3

Wateja wa compact Plus wao wataburudika na mechi ya Ujerumani wakichuana na Hispania, muda ni saa 4 na nusu usiku kwenye super sport 5

1

Jiunge na DStv kwa sh.79, 000 uweze kufaidi uhondo huu wa soka laivu ndani ya HD, Yaani Ni Full Vyenga Bila Chenga! wasiliana nao kwa namba 0659 070707 na ukitaka kujihudumia piga *150*46# kisha fuata maelekezo!

THE PUNGUZO na DStv!

 Read More

Share.

About Author

Comments are closed.