Friday, July 19

IGP SIRRO AFANYA ZIARA YA UKAGUZI KATIKA UWANJA WA MBINU ZA MEDANI KILIMANJARO

0


2-min

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akizungumza na wanafunzi wanaopata mafunzo kwa ngazi ya Uofisa pamoja na Mkaguzi wa Jeshi hilo katika Shule ya Polisi Moshi eneo la Kilelepori wilayani Siha mkoani Kilimajaro leo 28/11/2018.

1-min

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akimsikiliza kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Hamis Issah (kushoto), wakati alipofanya ziara ya Ukaguzi katika eneo la mafunzo ya mbinu za medani Kilelepori wilayani Siha mkoani Kilimanjaro leo 28/11/2018.

3

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akisalimiana na baadhi ya Wakufunzi wa Shule ya Polisi Moshi mkoani Kilimanjaro wakati alipofanya ziara ya Ukaguzi Leo 28/11/2018. Picha na Jeshi la Polisi.

 Check AlsoPIX 6

Afisa Utamaduni Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bibi.Kemilembe Anatory akizungumza na wanafunzi wa …

Share.

About Author

Leave A Reply