Friday, July 19

ARUMERU TUNATEKELEZA

0


1

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe Jerry Muro akiambatana na kamati ya siasa ya chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Arumeru wamefanya ziara ya ukaguzi wa miradi inayotekelezwa na serikali, ziara Hii ni maandalizi ya uwasilishaji wa taarifa ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi wa chama cha Mapinduzi Kwa kipindi Cha miezi sita kuanzia January mpaka June 2018 siku ya Jumamosi 24/11/2018

index

Kamati ya siasa ya chama cha Mapinduzi wilaya ya Arumeru imetembelea miradi ya ujenzi wa shule ya sekondari kata ya mwandeti, mradi wa ujenzi wa kituo kipya cha Afya mbuyuni kata ya Oljoro , ujenzi wa miradi ya Maendeleo katika kata ya Kimnyak na maeneo mbalimbali.

#ArumeruYetu #Tunatekelezailani2018
#WakatiWetuCheck AlsoWW

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza tumefanikiwa kuwaua Majambazi saba katika tukio la majibizano ya …

Share.

About Author

Leave A Reply