Saturday, July 20

RAIS DKT. MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO TOKA KWA MABALOZI WAPYA WA UAE, CANADA NA SPAIN IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Spain nchini Mhe.
Maria Pedros Carrtero  kwenye sherehe iliyofanyika Ikulu jijini Dar es
salaam leo Novemba 8, 2018  

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Umoja wa Falme za
Kiarabu (UAE) Mhe. Khalifa Abdulrahman Mohamed Al-Marzooqi kwenye
sherehe iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 8, 2018.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Canada nchini Mhe.
Pamela O’Donnel  kwenye sherehe iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam
leo Novemba 8, 2018  

Share.

About Author

Leave A Reply