Saturday, August 24

JIACHIE: NDEGE BEACH DEVELOPMENT ASSOCIATION NA ROTARY CLUB DAR ES SALAAM YA MIKOCHENI WAUNGANA KWENYE KAMPENI YA 'MISSION GREEN'

0


   Gavana wa Rotary District 9211, Ken Mugisha alizinduwa Mradi wa ‘Rotary Mission Green’  wa miaka 5 tokea 2017-2021 wenye lengo la kutunza mazingira na kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi na kuboresha viwango vya mapato kwa jamii. Kuhamasisha na kuongeza ufahamu na umuhimu wa upandaji miti kubadili maisha ya watu na kuongeza ukuaji na maendeleo. Ndege Beach Development Association kwa kushirikiana na Rotary Club ya Dar es Salaam Mikocheni wamepanda miti 4000 eneo la Mbweni kwenye kampeni ya Mkakati wa Kijani’ Mission Green’ wenye lengo la kupanda miti milioni 5. 

  

 

 
Mhandisi Florence Msambila (kulia) pamoja na wakazi wengine wa Ndege Beach Development Association wakianza zoezi la upandaji miti kwa kushirikiana na Rotary Club ya Dar es Salaam mikocheni wakati wa kampeni ya Mkakati wa kijani’MISSION GREEN’ eneo la Ndege Beach jijini Dar es Salaam Machi 24 2018. (IMEANDALIWA NA ROBERT OKANDA BLOGS)
Sehemu ya wakazi wa Ndege Beach Development Association wakipanda mti katika zoezi la upandaji miti kwa kushirikiana na Rotary Club ya Dar es Salaam mikocheni wakati wa kampeni ya Mkakati wa kijani’MISSION GREEN’ eneo la Ndege Beach jijini Dar es Salaam Machi 24 2018. 
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Malindi Estate/ Ndege Beach akishiriki zoezi la upandaji miti kwa ushirikiano baina ya Ndege Beach Development Association na Rotary Club ya Dar es Salaam Mikocheni wakati wa kampeni ya Mkakati wa kijani’MISSION GREEN’ eneo la Ndege Beach jijini Dar es Salaam Machi 24 2018. 
Mhandisi Florence Msambila (kulia) pamoja na Mratibu wa Mkakati wa kijani, Rotarini Jane Pesha wakishiriki katika kampeni ya upandaji miti kwa ushirikiano kati ya Rotary Club ya Dar es Salaam Mikocheni na Ndege Beach Development Association wa kampeni ijulikanayo kama’MISSION GREEN’ eneo la Ndege Beach jijini Dar es Salaam Machi 24 2018.
Mratibu wa Mkakati wa kijani, Rotariani Jane Pesha (katikati)  pamoja na wakazi wengine wa Ndege Beach Development Association wakianza zoezi la upandaji miti kwa kushirikiana na Rotary Club ya Dar es Salaam mikocheni wakati wa kampeni ya Mkakati wa kijani’MISSION GREEN’ eneo la Ndege Beach jijini Dar es Salaam Machi 24 2018.
Sehemu ya wakazi wa Ndege Beach Development Association wakipanda mti katika zoezi la upandaji miti kwa kushirikiana na Rotary Club ya Dar es Salaam mikocheni wakati wa kampeni ya Mkakati wa kijani’MISSION GREEN’ eneo la Ndege Beach jijini Dar es Salaam Machi 24 2018.
Mjumbe wa Ndege Beach Development Association Godwin Makyao akishiriki katika zoezi la upandaji miti kwa kushirikiana na Rotary Club ya Dar es Salaam Mikocheni wakati wa kampeni ya Mkakati wa kijani ‘MISSION GREEN’ eneo la Ndege Beach jijini Dar es Salaam Machi 24 2018.
Sehemu ya wakazi wa Ndege Beach Development Association wakipanda mti katika zoezi la upandaji miti kwa kushirikiana na Rotary Club ya Dar es Salaam mikocheni wakati wa kampeni ya Mkakati wa kijani’MISSION GREEN’ eneo la Ndege Beach jijini Dar es Salaam Machi 24 2018.
Binti Hairati Hidary akishiriki kampeni ya upandaji miti, kufuata nyayo za mama yake Heriat Magalla, Rotariani wakati wa zoezi la upandaji miti lililofanyika Ndege Beach Dar es Salaam Machi 24 2018.
Baadhi  ya wakazi wa Ndege Beach Development Association wakipanda mti katika zoezi la upandaji miti kwa kushirikiana na Rotary Club ya Dar es Salaam mikocheni wakati wa kampeni ya Mkakati wa kijani’ MISSION GREEN’ eneo la Ndege Beach jijini Dar es Salaam Machi 24 2018.
Mkazi wa Ndege Beach Development Association wakipanda mti katika zoezi la upandaji miti kwa kushirikiana na Rotary Club ya Dar es Salaam mikocheni wakati wa kampeni ya Mkakati wa kijani’ MISSION GREEN’ eneo la Ndege Beach jijini Dar es Salaam Machi 24 2018.
Ule usemi wa wahenga, samaki mkunje angali mbichi unadhihirishwa hapa, Binti Mkunde Sembotya akipanda mti pamoja na mkazi wa Ndege Beach Development Association wakipanda mti katika zoezi la upandaji miti huku baba yake akishudia (kulia) zoezi lililoendeshwa na Rotary Club ya Dar es Salaam Mikocheni na Association hiyo, wakati wa kampeni ya Mkakati wa kijani’MISSION GREEN’ eneo la Ndege Beach jijini Dar es Salaam Machi 24 2018.
Mwezeshaji wa Mawasiliano wa Rotary Club ya Dar es Salaam Mikocheni Rotarian Leina Lemomo akielezea machache kuhusu faida na manufaa ya wana Rotariani kwa sehemu ya wakazi wa Ndege Beach Development Association baada ya kushiriki katika zoezi la upandaji miti kwa kushirikiana na Rotary Club hiyo, wakati wa kampeni ya Mkakati wa kijani’ MISSION GREEN’ eneo la Ndege Beach jijini Dar es Salaam Machi 24 2018.
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Malindi Estate/ Ndege Beach (katikati) pamoja na wakazi wengine wa Ndege Beach wakimsikiliza Mwezeshaji wa Mawasiliano wa Rotary Club ya Dar es Salaam Mikocheni Rotarian Leina Lemomo alipotoa muhtasari wa kazi za Rotary Clubs duniani. 
Gavana Msaidizi wa District, Alfred Woiso akizungumza machache kuhusu uwanachama wa Rotari Clubs duniani wakati wa kampeni hiyo.
Wakazi wa Ndege Beach wakijumuika pamoja baada ya kushiriki kampeni ya upandaji miti ya Mkakati wa Kijani.
Mhandisi Florence Msambila Mjumbe wa Ndege Beach Development Association akishukuru washiriki wa kampeni hiyo.
Picha ya Pamoja kuhitimisha zoezi la upandaji miti. 


   Read More

Share.

About Author

Comments are closed.