Sunday, August 25

JIACHIE: Diwani mwingine wa Chadema Arusha Ajiuzulu na kujiunga na CCM

0


 
Diwani wa kata ya Kaloleni Halmashauri ya jiji la Arusha, Ndg.Emmanuel Kessy wa CHADEMA (pichani kati) amejiuzulu uanachama na udiwani mapema jana na kutangaza kujiunga na chama cha CCM, kwa kile alichoeleza kuwa amefanya hivyo ili kuunga mkono juhudi za Mh.Rais Magufuli.Diwani huyo amepokelewa na Katibu mwenezi wa Wilaya ya Arusha Mjini Ndg.Abrahamu Mollel pamoja Katibu Hamasa wa Vijana Mkoa wa Arusha Ndg. Omary LumatoRead More

Share.

About Author

Comments are closed.