Monday, March 18

IGP SIRRO AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA NBC

0


 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP
Simon Sirro, akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Theobald Sabi,
wakati alipomtembelea ofisini kwake Makao Makuu ya Jeshi hilo jijini Dar es
salaam leo 05/12/2018, kwa lengo la kuendelea kujenga ushirikiano baina ya
benki hiyo na Jeshi la Polisi. Picha na
Jeshi la Polisi.

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP
Simon Sirro, akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Theobald Sabi,
pamoja na watendaji wengine wa benki hiyo wakati walipomtembelea ofisini kwake
Makao Makuu ya Jeshi hilo jijini Dar es salaam leo 05/12/2018, kwa lengo la
kuendelea kujenga ushirikiano baina ya benki hiyo na Jeshi la Polisi. Picha na Jeshi la Polisi.

Share.

About Author

Leave A Reply